Monday, June 4, 2012

Njiapanda clubs!

Uhaligani mwananjiapanda popote pale ulipo?Ikiwa ndo tunaendelelea na harakati nzima za kuhakikisha njiapanda inakua ni ya manufaa kwa watu nwote kwa kusabisha tabasamu kwa wote,nikuombe wewe mskilizaji wa kipindi hiki bora Afrika mashariki na kati,uniambie nini kifanyike ila kuweza kuifanya njiapanda kuwa bora kabisa.Kwa sasa tunatarajia kuanza uzinduzi wa Njiapanda clubs ambazo zilikuepo hapo kipindi cha nyuma.Nia hasa ni kutaka kukufikia wewe mwanjiapanda popote pale ulipo na kuweza kusababisha tabasamu kwa wote.
Waweza kutuanndikia maoni yako kupitia email adress yetu: njiapanda@gmail.com au kupitia namba yetu ya mtandao kwa kuanza na neno NP acha nafasi,ujumbe na kisha tuma kwenye namba 15678 na ujumbe wako utatufikia.
TUSABABISHE TABASAMU KWA WOTE KWA KUTOA SAUTI KWA WASIO NA SAUTI.

Saturday, June 2, 2012

BREAKING NEWS: FLOYD MAYWEATHER AANZA KIFUNGO CHA MIEZI 3 - 50 CENT AMSINDIKIZA JELA

Bondia Floyd Mayweather leo ameanza kifungo cha miezi 3 jela alichohukumiwa mwezi Desemba mwaka jana kutokana na kuvunja sheria kwa kufanya ugomvi. Wakati akielekea Jela Mayweather alisindikizwa na rafiki yake kipenzi mwanamuziki 50 Cent.
Mayweather akitiwa pingu na polisi kuelekea kwenye karandinga.
"Nenda dogo nitakumiss kaka yako" 50 Cent na Mayweather.
Hiki ndio chumba atakachokaa Mayweather kwa miezi 3
Hizi ndio sare zake kwa kipindi chote atakachokaa jela.

Usikose kusikiliza kipindi cha njia Panda Kesho ili kujua mkasa wa Kijana SUMIRA PAUL kutoka Mwanza

kwa mapenzi tilionayo wafanyakazi wa Clouds media group tulipata nae chakula cha mchana

Sunday, May 27, 2012

Njiapanda ya leo na dr Isaac Maro pamoja na mtayarishaji wake Jacqueline C Masanja. kupitia clouds fm jumapili saa nane mchana mpaka kumi kamili jioni.

 Ndg Mokhamed Omary huyo mwenye shati jeupe ambaye ni mlemavu wa macho akiwa na msaidizi wake. ndg Mokhamed hakuwa mlevmavu wa macho amepata katika harakati za kutafuta maisha ni bondia na alipopanda katika pambano la kujaribu bahati yake ndo hayo maswahibu yakamkuta.
 mtangazaji wa njiapanda dr Isaac Maro mwenye flana nyeusi akiwa sambamba na mtayarishaji wa kipindi hicho Jacqueline Masanja mwenye kitenge tukiwa na mgeni wetu  Mokhamed Omary pamoja na ndg yake anemsaidia kwa sasa.
 hapo tukiwa studio tunaweka mabo sawa kipindi kianze CLOUDS FM
 hapa aliniiba kidogo sikuwa hata tayari. niko pressenter lounge CLOUDS FM

Wednesday, April 18, 2012

FAHAMU MENGI KUHUSU JIONEE NA JACK

Mimi Jacqueline Masanja nimefungua blog hii maalum kabisa kwa ajili ya kuwaletea yale matukio mbalimbali ya kijamii uyasikiayo katika kipindi cha njiapanda cha clouds fm kila siku ya Jumapili saa 8 mhana mpaka saa 10 kamili na mengine mengi  abayo hayakufikii ila humu utayapata.