Monday, June 4, 2012

Njiapanda clubs!

Uhaligani mwananjiapanda popote pale ulipo?Ikiwa ndo tunaendelelea na harakati nzima za kuhakikisha njiapanda inakua ni ya manufaa kwa watu nwote kwa kusabisha tabasamu kwa wote,nikuombe wewe mskilizaji wa kipindi hiki bora Afrika mashariki na kati,uniambie nini kifanyike ila kuweza kuifanya njiapanda kuwa bora kabisa.Kwa sasa tunatarajia kuanza uzinduzi wa Njiapanda clubs ambazo zilikuepo hapo kipindi cha nyuma.Nia hasa ni kutaka kukufikia wewe mwanjiapanda popote pale ulipo na kuweza kusababisha tabasamu kwa wote.
Waweza kutuanndikia maoni yako kupitia email adress yetu: njiapanda@gmail.com au kupitia namba yetu ya mtandao kwa kuanza na neno NP acha nafasi,ujumbe na kisha tuma kwenye namba 15678 na ujumbe wako utatufikia.
TUSABABISHE TABASAMU KWA WOTE KWA KUTOA SAUTI KWA WASIO NA SAUTI.

No comments:

Post a Comment