Sunday, May 27, 2012

Njiapanda ya leo na dr Isaac Maro pamoja na mtayarishaji wake Jacqueline C Masanja. kupitia clouds fm jumapili saa nane mchana mpaka kumi kamili jioni.

 Ndg Mokhamed Omary huyo mwenye shati jeupe ambaye ni mlemavu wa macho akiwa na msaidizi wake. ndg Mokhamed hakuwa mlevmavu wa macho amepata katika harakati za kutafuta maisha ni bondia na alipopanda katika pambano la kujaribu bahati yake ndo hayo maswahibu yakamkuta.
 mtangazaji wa njiapanda dr Isaac Maro mwenye flana nyeusi akiwa sambamba na mtayarishaji wa kipindi hicho Jacqueline Masanja mwenye kitenge tukiwa na mgeni wetu  Mokhamed Omary pamoja na ndg yake anemsaidia kwa sasa.
 hapo tukiwa studio tunaweka mabo sawa kipindi kianze CLOUDS FM
 hapa aliniiba kidogo sikuwa hata tayari. niko pressenter lounge CLOUDS FM

3 comments:

  1. Mimi naitua mohamed Pai katoka Mozambique, nakipenda kipindi cha njiapanda. Nisalimie wote.

    ReplyDelete
  2. Asante sana dr.Isaac mano,kwa kipindi, nakipenda sana kwa sikose Kila jumapili,Mimi Mohamed Pai katoka Mozambique Gurue,

    ReplyDelete
  3. Asante sana dr.Isaac mano,kwa kipindi, nakipenda sana kwa sikose Kila jumapili,Mimi Mohamed Pai katoka Mozambique Gurue,

    ReplyDelete