mtangazaji wa njiapanda dr Isaac Maro mwenye flana nyeusi akiwa sambamba na mtayarishaji wa kipindi hicho Jacqueline Masanja mwenye kitenge tukiwa na mgeni wetu Mokhamed Omary pamoja na ndg yake anemsaidia kwa sasa.
hapo tukiwa studio tunaweka mabo sawa kipindi kianze CLOUDS FM
hapa aliniiba kidogo sikuwa hata tayari. niko pressenter lounge CLOUDS FM