Mimi Jacqueline Masanja nimefungua blog hii maalum kabisa kwa ajili ya kuwaletea yale matukio mbalimbali ya kijamii uyasikiayo katika kipindi cha njiapanda cha clouds fm kila siku ya Jumapili saa 8 mhana mpaka saa 10 kamili na mengine mengi abayo hayakufikii ila humu utayapata.